Paul Clement - Wimbo official short film by einxer1

Paul Clement · 105,790 views
Watch Paul Clement - Wimbo official short film by einxer1 video. The Paul Clement - Wimbo official short film by einxer1 video uploader Paul Clement says about, #PaulClement #Wimbo #NgommaTz
This is a short film of the song WIMBO. The song talks about having faith in God despite the situations or challenges we are passing through.
The song was produced, mixed and mastered by Fisher Records under supervision of Taz.
guitars by John Marco & Emmanuel Gripa.
The film was directed by Einxer.

PAUL CLEMENT CONTACTS
Email: paulclement39@gmail.com
Facebook: https://www.facebook.com/paul clement
Twitter: https://twitter.com/paul clement91
Instagram: https://www.instagram.com/paulclement_official

WIMBO LYRICS

Verse 1
Eeeh MUNGU wangu nisaidie sababu nimekata tamaa maneno ya watu yamenifanya nijione duni nijione mdhaifu lakini neno lako lanipa nguvu ya kuendelea mbele na wakati huu nikiwa naongea nawe ni usiku sana Bwana kwa maana sioni chochote wala sina tumaini na tena sina furaha nina subiri asubuhi ifike haraka ili furaha irejee sababu umesema furaha yako yaja asubuhi na tena umesema furaha yako hiyo ndiyo nguvu yangu

Chorus
Wewe ni wimbo wangu wa moyo na sio wa kinywa
hata kama nisingekuwa na kinywa bado ningeimba

Verse 2
Siku ya kunitua mzigo mzito Bwana imefika
siku ya kunifuta machozi ya uchungu Bwana imefika
lakini yatakapotoka machozi ya furaha Bwana usiyafute
maana nitafurahi kuyaona yakitoka machoni pangu
kwa maana ni ishara ya ushindi utokao katika mkono wako
wewe ni wimbo wangu wa moyo na sio wa kinywa
hata kama nisingekuwa na kinywa bado ningeimba
©2018 Administered by Ngomma VAS Limited.RbNW7gqMsKs