All videos by ITV TANZANIA

Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.

Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.

In the Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam. video ITV TANZANIA says, Amiri jeshi mkuu rais Dkt. John Magufuli, amefanya ziara ya kushtukiza katika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam na kupiga marufuku watu binafsi kuuza ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
TUCTA wasema fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii ni muhimu.

TUCTA wasema fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii ni muhimu.

In the TUCTA wasema fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii ni muhimu. video ITV TANZANIA says, Umoja wa vyama vya wafanyakazi na asasi za kiraia hapa nchini umeitaka serikali na bunge kutopitisha muswada unaondoa fao la kujitoa katika mifuko ya ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
HABARI NYEPESI NYEPESI.

HABARI NYEPESI NYEPESI.

In the HABARI NYEPESI NYEPESI. video ITV TANZANIA says, Kwakweli duniani kuna mambo, Polisi mrefu kuliko wote nchini India mwenye urefu wa futi 7 na nchi nne amesahau kwa muda kazi yake ya kukamata vibaka ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
Serikali kuagiza ndege nyingine nne zikiwemo kubwa za kufanya safari za kimataifa.

Serikali kuagiza ndege nyingine nne zikiwemo kubwa za kufanya safari za kimataifa.

In the Serikali kuagiza ndege nyingine nne zikiwemo kubwa za kufanya safari za kimataifa. video ITV TANZANIA says, Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi wa masoko ya Afrika wa kampuni ya utengenezaji wa ndege ya Boeing ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
Wanafunzi Ilboru waandamana wakilalamikia uonevu wa mkuu wa shule

Wanafunzi Ilboru waandamana wakilalamikia uonevu wa mkuu wa shule

In the Wanafunzi Ilboru waandamana wakilalamikia uonevu wa mkuu wa shule video ITV TANZANIA says, Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ilboru iliyoko mkoani Arusha wameandamana hadi katika ofisi za mkuu wa mkoa Arusha wakilalamikia kufanyiwa vitendo ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
Rais Dkt John Pombe Magufuli afanya ziara bandari ya Dar es Salaam.

Rais Dkt John Pombe Magufuli afanya ziara bandari ya Dar es Salaam.

In the Rais Dkt John Pombe Magufuli afanya ziara bandari ya Dar es Salaam. video ITV TANZANIA says, Rais Dkt John Pombe Magufuli ameiagiza mamlaka ya bandari nchini TPA kukutana na kampuni ya upakuaji wa makontena bandarini TICTS ili kupitia upya ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
Kijana mmoja aendesha maisha yake kwenye handaki

Kijana mmoja aendesha maisha yake kwenye handaki

In the Kijana mmoja aendesha maisha yake kwenye handaki video ITV TANZANIA says, Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Chacha Makenge anaishi na kuendesha maisha yake katika handaki alilolichimba katikati ya pori lililopo katika eneo la ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
Serikali yaombwa kumaliza mgogoro wa wafugaji na wakazi wa kijiji cha Kimotorok, Simanjiro.

Serikali yaombwa kumaliza mgogoro wa wafugaji na wakazi wa kijiji cha Kimotorok, Simanjiro.

In the Serikali yaombwa kumaliza mgogoro wa wafugaji na wakazi wa kijiji cha Kimotorok, Simanjiro. video ITV TANZANIA says, Viongozi wa mila kutoka jamii ya wafugaji na wakazi wa kijiji cha Kimotorok wilayani Simanjiro wameiomba serikali iwasaidie kumaliza mgogoro wa ardhi ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
Zaidi ya asilimia 91 ya wanafunzi chuo cha Kampala wakosa mikopo.

Zaidi ya asilimia 91 ya wanafunzi chuo cha Kampala wakosa mikopo.

In the Zaidi ya asilimia 91 ya wanafunzi chuo cha Kampala wakosa mikopo. video ITV TANZANIA says, Waziri wa elimu Prof Joyce Ndalichako ameombwa kuingilia kati sakata la wanafunzi wa chuo kuu cha Kampala cha jijini Dar es Salaam ambao zaidi ya ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
"Nikawaambia ndege hiyo ikiondoka, watakao isindikiza nao wataondoka"Rais Magufuli

"Nikawaambia ndege hiyo ikiondoka, watakao isindikiza nao wataondoka"Rais Magufuli

In the "Nikawaambia ndege hiyo ikiondoka, watakao isindikiza nao wataondoka"Rais Magufuli video ITV TANZANIA says, Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics

Found 3,660 videos