LIVE: Kutoka Mbuga za Wanyama Serengeti Tanzania

Global TV Online · 138,519 views
Watch LIVE: Kutoka Mbuga za Wanyama Serengeti Tanzania video. The LIVE: Kutoka Mbuga za Wanyama Serengeti Tanzania video uploader Global TV Online says about, SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1

GLOBAL TV Online, kwa hisani kubwa ya TANZANIA NATIONAL PARKS (TANAPA), inakuletea kipindi cha FAHARI YA TANZANIA ambacho kinaonesha maisha ya wanyama kutoka mbuga za Wanyama za Tanzania za Serengeti, Ngorongoro na kwingineko.

Ni kipindi maalum cha kutangaza Utalii wa Ndani, ambao ni kielelezo tosha cha utajiri asilia wa nchi yetu Tanzania.

KUTOKA MBUGA ZA WANYAMA, FAHARI YA TANZANIA.... Hapa hapa Global TV oniline kila JUMATANO SAA 11:00 JIONI

#MbugaZaWanyama

WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublishers/
TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpublishers/jTdx8cm4hx0