Ugonjwa wa kipindupindu bado haujathibitika katika manispaa ya Temeke.

ITV TANZANIA · 384 views
Watch Ugonjwa wa kipindupindu bado haujathibitika katika manispaa ya Temeke. video. The Ugonjwa wa kipindupindu bado haujathibitika katika manispaa ya Temeke. video uploader ITV TANZANIA says about, Siku moja baada ya waziri wa afya kuitaja manispaa ya Temeke kuwa moja ya manispaa zilizo na wagonjwa wa kipindupindu manispaa hiyo imekanusha na kusema kuwa wagonjwa walioko bado hawajathibitika kama wanaugonjwa huo huku wagonjwa wawili kati ya watatu waliokuwa wakisadikiwa kuwa na ugonjwa huo wakiruhusiwa kurudi nyumbani.hL_n4L3s1YU