HIZI NI NYUMBA ZA BW. TIAGI MASAMAKI (TRA) AU FITNA ZA WATU TU???

Mackay98 · 31,154 views
Watch HIZI NI NYUMBA ZA BW. TIAGI MASAMAKI (TRA) AU FITNA ZA WATU TU??? video. The HIZI NI NYUMBA ZA BW. TIAGI MASAMAKI (TRA) AU FITNA ZA WATU TU??? video uploader Mackay98 says about, Inasemekana hizi nyumba ni mradi wa Bwana Tiagi Masamaki, Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Kutokana na maelezo ya Jamii Forums, zote ni nyumba 70 na kila moja inathamani ya TShs 100,000,000. Hii inatokea nchini Tanzania wakati shida ya maisha ipo kila pembe kwa wananchi na huku watoto wa shule wanakaa chini na kulala na njaa na hospitalini dawa hakuna na huduma ni mbovu kutokana na ukosefu wa pesa!

Zaidi fuatilia hapa chini uone wananchi wanasema nini kuhusu hujma hii:

http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/979813-acheni-fitna-watanzania-bw-masamaki-tra-ni-tajiri-tokea-zamani.html#post14743383exhHRoq8zrA