AliKiba akimuelezea Mr.Blue kwa undani

ChumaYao Investment · 8,304 views
Watch AliKiba akimuelezea Mr.Blue kwa undani video. The AliKiba akimuelezea Mr.Blue kwa undani video uploader ChumaYao Investment says about, Mr blue na Alikiba waliungana na kufanya ngoma kali ambayo inasemwa kuwa moja ya collabo kali kwenye tasnia ya muziki wa kikazi kipya yaani BONGO FLEVA.
MBOGA SABA ni nyimbo ambayo imepata mapokezi makubwa sana kwa mashabiki wa pande zote, angalia jinsi Alikiba anavyomuelezea Mr.Blue ni moja ya familia yake.
#CHUMAYAOaBrXQLdVUx0