All videos by ITV TANZANIA

TUCTA wasema fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii ni muhimu.

TUCTA wasema fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii ni muhimu.

In the TUCTA wasema fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii ni muhimu. video ITV TANZANIA says, Umoja wa vyama vya wafanyakazi na asasi za kiraia hapa nchini umeitaka serikali na bunge kutopitisha muswada unaondoa fao la kujitoa katika mifuko ya ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.

Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.

In the Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam. video ITV TANZANIA says, Amiri jeshi mkuu rais Dkt. John Magufuli, amefanya ziara ya kushtukiza katika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam na kupiga marufuku watu binafsi kuuza ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
Rais Dr Magufuli awahakikishia watanzania kutekeleza ahadi yake ya elimu bure.

Rais Dr Magufuli awahakikishia watanzania kutekeleza ahadi yake ya elimu bure.

In the Rais Dr Magufuli awahakikishia watanzania kutekeleza ahadi yake ya elimu bure. video ITV TANZANIA says, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli amewahakikishia watanzania kuwa ahadi yake ya kutoa elimu bure kuanzia darasa la ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
Kijana mmoja aendesha maisha yake kwenye handaki

Kijana mmoja aendesha maisha yake kwenye handaki

In the Kijana mmoja aendesha maisha yake kwenye handaki video ITV TANZANIA says, Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Chacha Makenge anaishi na kuendesha maisha yake katika handaki alilolichimba katikati ya pori lililopo katika eneo la ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
HABARI NYEPESI NYEPESI.

HABARI NYEPESI NYEPESI.

In the HABARI NYEPESI NYEPESI. video ITV TANZANIA says, Kwakweli duniani kuna mambo, Polisi mrefu kuliko wote nchini India mwenye urefu wa futi 7 na nchi nne amesahau kwa muda kazi yake ya kukamata vibaka ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
Wajasiriamali nchini watafanikiwa kibiashara iwapo watazingatia misingi ya biashara.

Wajasiriamali nchini watafanikiwa kibiashara iwapo watazingatia misingi ya biashara.

In the Wajasiriamali nchini watafanikiwa kibiashara iwapo watazingatia misingi ya biashara. video ITV TANZANIA says, Wajasiriamali nchini wanaweza wakafanikiwa kibiashara iwapo watazingatia misingi ya ufanyaji biashara. Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr Reginald Mengi ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
Wanafunzi Ilboru waandamana wakilalamikia uonevu wa mkuu wa shule

Wanafunzi Ilboru waandamana wakilalamikia uonevu wa mkuu wa shule

In the Wanafunzi Ilboru waandamana wakilalamikia uonevu wa mkuu wa shule video ITV TANZANIA says, Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ilboru iliyoko mkoani Arusha wameandamana hadi katika ofisi za mkuu wa mkoa Arusha wakilalamikia kufanyiwa vitendo ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
Rais Magufuli awaahidi wananchi wa Magomeni Kota kukamilisha ujenzi wa nyumba zao.

Rais Magufuli awaahidi wananchi wa Magomeni Kota kukamilisha ujenzi wa nyumba zao.

In the Rais Magufuli awaahidi wananchi wa Magomeni Kota kukamilisha ujenzi wa nyumba zao. video ITV TANZANIA says, Rais Dkt John Pombe Magufuli amewaomba radhi wananchi mia 644 waliokuwa wakiishi katika kota za magomeni na kuwaahidi atakamilisha ujenzi wa ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
Maelfu ya abiria wamekwama katika barabara kuu ya Morogoro-Dodoma

Maelfu ya abiria wamekwama katika barabara kuu ya Morogoro-Dodoma

In the Maelfu ya abiria wamekwama katika barabara kuu ya Morogoro-Dodoma video ITV TANZANIA says, Maelfu ya abiria wamekwama katika barabara kuu ya Morogoro-Dodoma, na kulazimika kusitisha safari zao, baada ya mvua kubwa zilizonyesha usiku wa ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics
Rais Magufuli awatunuku Kamisheni maafisa wapya 586 wa JWTZ mkoani Arusha.

Rais Magufuli awatunuku Kamisheni maafisa wapya 586 wa JWTZ mkoani Arusha.

In the Rais Magufuli awatunuku Kamisheni maafisa wapya 586 wa JWTZ mkoani Arusha. video ITV TANZANIA says, Rais John Magufuli ametunuku kamisheni kwa maafisa wapya mia tano na themanini na sita wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa tanzania kwa cheo cha Luteni ... Upload by: ITV TANZANIA Download: SongLyrics

Found 3,634 videos