All videos by Ben Muimbaji

Aulae mwili wangu - S.Mujwahuki

Aulae mwili wangu - S.Mujwahuki

In the Aulae mwili wangu - S.Mujwahuki video Ben Muimbaji says, Wimbo ni utunzi wake Mwalimu S. Mujwahuki na umeimbwa kama matoleo na kwaya nyingi sana. Hili ni toleo la wimbo huu lililoimbwa na ndugu zetu kutoka ... Upload by: Ben Muimbaji Download: SongLyrics
Nakumbuka Kule nilikotoka najiuliza nisemeje

Nakumbuka Kule nilikotoka najiuliza nisemeje

In the Nakumbuka Kule nilikotoka najiuliza nisemeje video Ben Muimbaji says, Wimbo huu umeimbwa na kwaya ya Mt Augustino Jimbo katoliki la Dar es salaam, Wimbo huu ni wa matoleo kwa ajili ya kutoa shukrani kwa Mungu wetu kwa ... Upload by: Ben Muimbaji Download: SongLyrics
Nikupe nini cha kukupendeza - Unga Limited Arusha

Nikupe nini cha kukupendeza - Unga Limited Arusha

In the Nikupe nini cha kukupendeza - Unga Limited Arusha video Ben Muimbaji says, Nikupe nini cha kukupendeza ni wimbo kati ya nyimbo pendwa za wakati wote na mara zote niusikiapo wimbo huu huwa napata nguvu na kuimarika sana. Upload by: Ben Muimbaji Download: SongLyrics
Kamvike Kilemba - Kwaya Katoliki

Kamvike Kilemba - Kwaya Katoliki

In the Kamvike Kilemba - Kwaya Katoliki video Ben Muimbaji says, Tumsifu Yesu kristu wapendwa. Inasadikika wimbo huu ni tungo ya mzungu aitwaye, "James Ellor 1838 - Diadem" maneno yake yaliwekwa na ndugu "Edward ... Upload by: Ben Muimbaji Download: SongLyrics
Yesu asante sana kujifanya chakula - Kwaya katoliki

Yesu asante sana kujifanya chakula - Kwaya katoliki

In the Yesu asante sana kujifanya chakula - Kwaya katoliki video Ben Muimbaji says, Yesu asante sana kujifanya chakula ambao ni utunzi wake Mwl S. Mujwahuki umekuwa ukirudiwa juimbwa na kwaya nyingi sana . Na awamu hii umeimbwa na ... Upload by: Ben Muimbaji Download: SongLyrics
Kimya Bara na Bahari -Nyimbo za christmas

Kimya Bara na Bahari -Nyimbo za christmas

In the Kimya Bara na Bahari -Nyimbo za christmas video Ben Muimbaji says, Kimya bara na bahari ni wimbo wa christmas ambao umeimbwa kwa ustadi mkubwa na kwaya ya mtakatifu Monica sinza. Ni wimbo ambao huwa hauishiwi ... Upload by: Ben Muimbaji Download: SongLyrics
Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu - Nyimbo za kwaresma

Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu - Nyimbo za kwaresma

In the Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu - Nyimbo za kwaresma video Ben Muimbaji says, Wimbo umeimbwa na wanakwaya ya Mtakatifu Cesilia Arusha. Ni wimbo mzuri wa wakati wote ambao ni matumaini yangu utakubariki sana. Tuzidi kumuimbia ... Upload by: Ben Muimbaji Download: SongLyrics
Roho Yangu Yesu Inakutamani - Kwaya katoliki

Roho Yangu Yesu Inakutamani - Kwaya katoliki

In the Roho Yangu Yesu Inakutamani - Kwaya katoliki video Ben Muimbaji says, Sijui wimbo huu unakukumbusha lini, Lakini kwangu mimi wimbo huu unanikumbusha saana miaka kadhaa iliyopita ambapo katika parokia yangu ulikuwa ni ... Upload by: Ben Muimbaji Download: SongLyrics
Tengeneza njia ya Bwana apite - Nyimbo za majilio

Tengeneza njia ya Bwana apite - Nyimbo za majilio

In the Tengeneza njia ya Bwana apite - Nyimbo za majilio video Ben Muimbaji says, Ni furaha sana kushirikisha wimbo huu kwa ndugu zangu kanisa la mtandaoni. Katika maandalizi haya ya kuzaliwa kwa Bwana ni furaha yangu kushirikishana ... Upload by: Ben Muimbaji Download: SongLyrics
Nasikia yesu waniita - Nyimbo za kwaresma

Nasikia yesu waniita - Nyimbo za kwaresma

In the Nasikia yesu waniita - Nyimbo za kwaresma video Ben Muimbaji says, Naam hizi ni nyimbo za kwaresma na wimbo huu nasikia Yesu waniita ni wimbo bora kabisa wa Pasaka ulioimbwa na kwaya ya The Glorious Catholic Singers ... Upload by: Ben Muimbaji Download: SongLyrics

Found 219 videos